Askari wa Usalama barabarani mmeshindwa kuwadhibiti bodaboda wanaotoa side mirror?

Askari wa Usalama barabarani mmeshindwa kuwadhibiti bodaboda wanaotoa side mirror?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Matokeo yake imekuwa wengi wanagongwa wakiwa na abiria kwa makosa ya ujinga wanaosema wao fashion. Kwanini hawa vijana msiwasake vijiweni waliong'oa saiti mira wote ndaani.

20230809_135411.jpg
 
Acheni kukompleini Mambo side mirror zinakukera nn
 
Matokeo yake imekuwa wengi wanagongwa wakiwa na abiria kwa makosa ya ujinga wanaosema wao fashion. Kwanini hawa vijana msiwasake vijiweni waliong'oa saiti mira wote ndaani.
Nakazia!! Ukimuuliza atakwambia, nikiziacha zitapasuka. Huu ni wendawazima kamili!
 
Boda boda inatakiwa wachapwe viboko katika baadhi ya makosa maana wana akili za kitoto

Unatoa side mirror, taa ya mbele unatoa,taa ya nyuma unaweka dim light,mtu Kama huyu Ni wakuchapa viboko
Mkuu hata Gari zina dim light. Pale unapofunga breki utaona ina dimuadimua.
 
Wabanwe hata wale wanaochezea exhaust pipes zao ili zipige makelele,hao nao ni kero sana...
Dah! Hawa ndiyo wanakera mpaka basi. Yaani wakiamua kufanya fujo zao, mtaa mzima hamkai kwa raha.
 
Yaani kwenye bodaboda ukipanda wewe👉👉🙍‍♂️🙍‍♂️ abiria ndyo unatakiwa uwe hyo side mirror kwasababu hata ikiwepo hawaitumii kabisa. Yaani unashangaa bodaboda unamwambia "punguza mwendo utamgonga huyo wa mbele yako" yaani anaona lakini bado unamwelekeza
 
Back
Top Bottom