Askari wa usalama barabarani msiache kuwapiga vibao bodaboda na Bajaj. Hawa vijana wana vichwa vigumu

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Kama kila kosa la Bajaj na bodaboda ni sh. 10000 mkiwatoza effectively hata mabosi wao hesabu hawataziona. Mkiwapeleka Mahakamani watajazana huko na serikali itakuwa busy kwa vitu visivyo na msingi.
Dawa ni vibao tu kwa hili kundi la vijana wa bodaboda na Bajaj.
Makofi sometimes huweka akili sawa. Wako too rough, wanaokufa kama nzi kila siku l.
 
Wanatia hasira sana na kuhatarisha maisha ya wengine., Unakuta ni bajaji imebeba watu, ipo kwenye mwendo alafu endiketa kawasha ya kushoto huku anaovateki.
Au barabara nzima kawasha endiketa upande mmoja toka mji huu kwenda mji huu, alafu anafika sehemu anaingia kushoto wakati endiketa lake kawasha la kulia au anaingia kulia wakati endiketa kawasha ya kushoto.
Bodaboda nao ni hovyo sana.
Haya makundi mawili imefika hatua nashindwa kuwaelewa niwapo barabarani hivyo nawapuuza huku nikijali usalama wangu tu
 
Kuna mmoja leo nimemuona na kiboko maeneo ya mataa ya kamata, sijui kilikuwa cha kazi gani ila nadhani kingewafaa sana, hawa bodaboda na bajaji hakuna mazungumzo ni viboko tu
 
Ni baeleze batanzani

Bodaboda na polisi wampuuze huyu. Ameamka na hasira zake, kaamka kuwatukana Batanzani leo.

Why the hopelessness? Ijs
 
Kuna mmoja leo alikua anapenya katikati (kushoto gari, kulia gari) kaenda kugonga gari ya mbele, iliyokua inataka kuhama upande halafu analalamika amechomekewa anataka kulipwa.

Yule jamaa mwenye gari mwenyewe naona ni mpole mpole anaeza akalipa kweli, maana boda anafoka yeye anaongea kinyonge kana kwamba yeye ndio kasababisha.

Yaani ugonge gari nyuma kwenye taa mpaka ipasuke, wakati ukiwa unapenya penya halafu useme nikulipe? How!!!

Hebu waelewa ufafanuzi tafadhari, kwa hiyo hapo boda atasema alikua anaovateki ama? Kisheria imekaaje
 
Tafadhari fanya yote lakini usiwaguse hao ndio wapiga kula wangu
 
Shida ya bodaboda ni wanasiasa ambao wanawatumia bodaboda katika faida zao za kisiasa.. traffic sasa na wao wamechoka maana hawajui washike lipi na waache lipi
 
Kuna mmoja leo alikua anapenya katikati (kushoto gari, kulia gari) kaenda kugonga gari ya mbele, iliyokua inataka kuhama upande halafu analalamika amechomekewa anataka kulipwa.

Yule jamaa mwenye gari mwenyewe naona ni mpole mpole anaeza akalipa kweli, maana boda anafoka yeye anaongea kinyonge kana kwamba yeye ndio kasababisha.

Yaani ugonge gari nyuma kwenye taa mpaka ipasuke, wakati ukiwa unapenya penya halafu useme nikulipe? How!!!

Hebu waelewa ufafanuzi tafadhari, kwa hiyo hapo boda atasema alikua anaovateki ama? Kisheria imekaaje
Huyu ni mpumbavu kabisa,
Boda wanaendesha bila tahadhari wakiamimi horn ndo brake,mahala pa kutumia brake anatumia horn kanakwamba anaepigiwa horn anaelewa nini anamaanisha,
Bajaj ndo wale wale madereva boda wamebadilisha chombo
Boda na bajaji hawa ni watoto wa baba na mama mmoja ila matumbo mbali mbali
 
Kama kila kosa la Bajaj na bodaboda ni sh. 10000 mkiwatoza effectively hata mabosi wao hesabu hawataziona. Mkiwapeleka Mahakamani watajazana huko na serikali itakuwa busy kwa vitu visivyo na msingi.
Dawa ni vibao tu kwa hili kundi la vijana wa bodaboda na Bajaj.
Makofi sometimes huweka akili sawa. Wako too rough, wanaokufa kama nzi kila siku l.
Wapelekwe magereza ya kilimo
 
Na ikiezekana wachapwe viboko vya kichwa na mgongo.
 
Mkimaliza issue ya Bajaj mhamie uzi wa kula tunda kimasihara huenda mkapunguza hasira
 
Kuna mmoja leo nimemuona na kiboko maeneo ya mataa ya kamata, sijui kilikuwa cha kazi gani ila nadhani kingewafaa sana, hawa bodaboda na bajaji hakuna mazungumzo ni viboko tu
Ni mimi huyo, nilikuwa nawatandika wale waliokuwa wanakiuka agizo la kutokuingia mjini. Kazi yangu ilikuwa kuwatandika magongo ya mgongo hadi waanguke.
 
Kuna mmoja leo alikua anapenya katikati (kushoto gari, kulia gari) kaenda kugonga gari ya mbele, iliyokua inataka kuhama upande halafu analalamika amechomekewa anataka kulipwa.

Yule jamaa mwenye gari mwenyewe naona ni mpole mpole anaeza akalipa kweli, maana boda anafoka yeye anaongea kinyonge kana kwamba yeye ndio kasababisha.

Yaani ugonge gari nyuma kwenye taa mpaka ipasuke, wakati ukiwa unapenya penya halafu useme nikulipe? How!!!

Hebu waelewa ufafanuzi tafadhari, kwa hiyo hapo boda atasema alikua anaovateki ama? Kisheria imekaaje
Kwa uelewa wangu, anaekugonga nyuma ndo mwenye makosa hata kama umefungiwa breki kwa makusudi. Huyo mwenye gari ni mzembe, trafiki angekuapo huyo boda angekula makofi
 
Jana nipo na jamaa yangu, amani imetawala siwazi kuhusu ajali wala nini, sasa napiga indicator ya kukata kushoto na turn tu nasikia kishindo, nikahamaki, naona boda na abiria mzee mmoja wapo chini, mzee kapasuka, boda imechakaa, bodaboda mwenyewe anachechemea. Bodaboda hazina exception, fata sheria kama watumia barabara wengine, Vinginevyo utaumia.
 
Back
Top Bottom