Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Huyu ni mpumbavu kabisa,Kuna mmoja leo alikua anapenya katikati (kushoto gari, kulia gari) kaenda kugonga gari ya mbele, iliyokua inataka kuhama upande halafu analalamika amechomekewa anataka kulipwa.
Yule jamaa mwenye gari mwenyewe naona ni mpole mpole anaeza akalipa kweli, maana boda anafoka yeye anaongea kinyonge kana kwamba yeye ndio kasababisha.
Yaani ugonge gari nyuma kwenye taa mpaka ipasuke, wakati ukiwa unapenya penya halafu useme nikulipe? How!!!
Hebu waelewa ufafanuzi tafadhari, kwa hiyo hapo boda atasema alikua anaovateki ama? Kisheria imekaaje
Wapelekwe magereza ya kilimoKama kila kosa la Bajaj na bodaboda ni sh. 10000 mkiwatoza effectively hata mabosi wao hesabu hawataziona. Mkiwapeleka Mahakamani watajazana huko na serikali itakuwa busy kwa vitu visivyo na msingi.
Dawa ni vibao tu kwa hili kundi la vijana wa bodaboda na Bajaj.
Makofi sometimes huweka akili sawa. Wako too rough, wanaokufa kama nzi kila siku l.
Ni mimi huyo, nilikuwa nawatandika wale waliokuwa wanakiuka agizo la kutokuingia mjini. Kazi yangu ilikuwa kuwatandika magongo ya mgongo hadi waanguke.Kuna mmoja leo nimemuona na kiboko maeneo ya mataa ya kamata, sijui kilikuwa cha kazi gani ila nadhani kingewafaa sana, hawa bodaboda na bajaji hakuna mazungumzo ni viboko tu
Kwa uelewa wangu, anaekugonga nyuma ndo mwenye makosa hata kama umefungiwa breki kwa makusudi. Huyo mwenye gari ni mzembe, trafiki angekuapo huyo boda angekula makofiKuna mmoja leo alikua anapenya katikati (kushoto gari, kulia gari) kaenda kugonga gari ya mbele, iliyokua inataka kuhama upande halafu analalamika amechomekewa anataka kulipwa.