Kiboko.
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 2,891
- 1,214
Habari wanabodi,
Kigamboni sasa imekuwa kama mkoani trafic wenye torch wapo kila barabara, kitu kinachofanya wakazi wa Kigamboni kuhisi kama ni mateso, barabara hazina folen kulazimishwa kutembea speed 50. Mbona Nyerere ,Mandela,Ali Hassan Mwinyi, Barack Obama, Bibi Titi, Morogoro na Bagamoyo road hazina trafic wenye tochi?
Hebu tafuteni chanzo kingne cha mapato na sio kughasi watu wa Kigamboni. Afu kuna wengne wanajificha kwenye DARAJA la NYERERE, pale kuna camera nyingi tu kwanini zisitumike hizo kuwakamata walivuka speed limit mnaamua jificha?
Acheni hiyo tabia mara moja.
Mkaaazi wa Kigamboni, Kibada.