Dar es Salaam na Arusha Ni Traffic cities Kila hatua chache Traffic hata uwe na Kila kiti kasafari kadogo kanakuchukua muda mrefu Sana Nina mtoto wa jirani aliulizwa na mwalimu wale Askari wa Traffic barabarani kazi Yao nini? Akajibu kusimamisha magari yanayotembeaPole sana...
Mi kuna siku kidogo wanidake wakati namaliza daraja, nilivyopunguza mwendo nikawaokoa wa nyuma yangu..
Cha ajabu wale traffic wakawa wananilaumu nimewakosesha ulaji!
Wanakera Sana.. Wenzetu huko mwenge, Mikocheni traffic wanalazimisha watu kuongeza mwendo ili kupunguza foleni na muda wa kukaa barabarani sisi huku kigamboni traffic wamefanya mtaji.... Kigambni yote eti speed hutakiwi kuzidi 50km/hr Tena hamna hata vibao mtu nakwambia ni eneo la makazi sasa kama makazi Dar es salaam yote si makazi?
Haiwezekani Kigamboni yote iwe speed 50!
Kuna barabara mpya Kibda-Kisiwani baada ya kuona imekuwa nzuri sasa wamehamia hapo kupiga tochi!Habari wanabodi,
Kigamboni sasa imekuwa kama mkoani trafic wenye torch wapo kila barabara, kitu kinachofanya wakazi wa Kigamboni kuhisi kama ni mateso, barabara hazina folen kulazimishwa kutembea speed 50. Mbona Nyerere ,Mandela,Ali Hassan Mwinyi, Barack Obama, Bibi Titi, Morogoro na Bagamoyo road hazina trafic wenye tochi?
Hebu tafuteni chanzo kingne cha mapato na sio kughasi watu wa Kigamboni. Afu kuna wengne wanajificha kwenye DARAJA la NYERERE, pale kuna camera nyingi tu kwanini zisitumike hizo kuwakamata walivuka speed limit mnaamua jificha?
Acheni hiyo tabia mara moja.
Mkaaazi wa Kigamboni, Kibada.
Kiboko.
We uweke bendera Ile ya kijani mbele mkuuDar es Salaam na Arusha Ni Traffic cities Kila hatua chache Traffic hata uwe na Kila kiti kasafari kadogo kanakuchukua muda mrefu Sana Nina mtoto wa jirani aliulizwa na mwalimu wale Askari wa Traffic barabarani kazi Yao nini? Akajibu kusimamisha magari yanayotembea
Hahahaha ndy zaoKuna barabara mpya Kibda-Kisiwani baada ya kuona imekuwa nzuri sasa wamehamia hapo kupiga tochi!
[emoji23][emoji23][emoji23]We uweke bendera Ile ya kijani mbele mkuu
Hutobugudhiwa
Ova
Wanakera sana Hususani kwenye Barabara ya kwenda Cheka yaani kuanzia mikadi tu unaanza kusimamishwaHabari wanabodi,