Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkuu haujaongezea chumvi? Inaingia mara 90!!!?Kuielewa CONGO NA HISTORIA YA SIASA ZA MAZIWA MAKUU NI NGUMU MNO.
IMAGINE RWANDA INAINGIA MALA 90 YA UKUBWA WA ENEO LA KONGO.
NA INAPIGWA VIBAYA NA VIPANYA VYA RWANDA M23.
March 23.
Tishekedi alikuwa anawalipa wale Mamluki wa Kiromania dola 4000/5000 kwa mwezi halafu hawa Askri wa Kikongo wanalipwa 100$ na mara nyingine hata huwa hawapokei.Drc haina jeshi ila ina mkusanyiko wa wanamgambo wa kikabila
Ndio Bata Eleza mahakama ya Kijesh!!!Tishekedi alikuwa anawalipa wale Mamluki wa Kiromania dola 4000/5000 kwa mwezi halafu hawa Askri wa Kikongo wanalipwa 100$ na mara nyingine hata huwa hawapokei.
Halafu hata mabomu ya kwenye Vifaru pia pesa zinapigwa unakuta Kifaru kizima kina makombora mawili au matatu na mafuta yenyewe wanapewa kiduchu.
Sasa unataka hawa Askari wapigane vipi?!
Hakuna Justice Kongo ni RUSHWA tupu.Ndio Bata Eleza mahakama ya Kijesh!!!