Askari wapya 178 wahitimu mafunzo ya jeshi la akiba akiwemo DAS wa Kahama

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Wakuu

Nimeona taarifa katibu tawala mmoja amehitimu mafunzo ya ugambo (Jeshi la akiba) hii ina maana gani?

===

Askari Wapya 178 wa Jeshi la akiba wilayani ya Kahama mkoani Shinyanga wamehitimu mafunzo ya Jeshi la akiba akiwemo Katibu tawala wa wilaya ya Kahama Glory Absalum,ambayo yameendesha na Ofisi ya Jeshi la akiba wilaya ya Kahama.

Clouds Digital imezungumza na baadhi ya askari akiwemo, Katibu tawala wa Kahama, Glory wameelezea matarajio yao huku Kapteni Sarai Mbarouk akithibitisha askari hao wapya 178 kufuzu mafunzo hayo kikamilifu ndipo Frank Nkinda Mkuu wa wilaya ya Kahama akawataka kuishi viapo vyao.
Your browser is not able to display this video.
 
Wanawaajiri migambo kwa kasi kutisha watu kipindi cha uchaguzi
 
Kawaida kabisa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…