#COVID19 Askari wetu acheni kucheza na maisha yenu. Hivi tahadhari dhidi ya COVID-19 iko wapi hapa?

#COVID19 Askari wetu acheni kucheza na maisha yenu. Hivi tahadhari dhidi ya COVID-19 iko wapi hapa?

Prof Koboko

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
350
Reaction score
2,550
Hivi kweli hapa askari wangu hapa mnajiaminia nini ndugu zangu? Au mnafikiri mdudu naye mtampiga risasi?

Kuna wakati tunatakiwa kutumia maarifa ikiwa tunayataka maisha marefu na tunatambua kua familia zinatutegemea.

IMG-20210315-WA0040.jpg
 
Wanafuata nyayo za Amiri jeshi mkuu wao...

Sijaona tatizo lolote hapo
 
Hao jamaa ni waroho wa kila kitu! Kula, 😋 rushwa, 🤑, chini,😍!!

Hatari sana! Acha wafe tu sasa. Hakuna namna.
 
Ulitaka wawe wanakula huku wamevaa barakoa..? Au au wakuoneshe sehem ya kunawia .? Utakua una njaa wewe nenda kale kwanza halafu itafakari hiyo picha vizuri
 
Waliowahi kukaa gerezani hayo mabakuli wanayafahamu[emoji1787][emoji1787]
 
Yaani Askari wetu sifa zitawaua.Hapo Wana demonstrate jinsi ugali na ndondo za magereza zinavyonoga.
 
Back
Top Bottom