Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Wapo wengi sana mpaka wengine wanatumika vibayaKuna wakati tunatakiwa kutumia maarifa ikiwa tunayataka maisha marefu
COVID atadhibitiwa na Risasi 5 tuHivi kweli hapa askari wangu hapa mnajiaminia nini ndugu zangu? Au mnafikiri mdudu naye mtampiga risasi?
Kuna wakati tunatakiwa kutumia maarifa ikiwa tunayataka maisha marefu na tunatambua kua familia zinatutegemea.
View attachment 1726435
Happ siku 2 kabla ya KileleWanafuata nyayo za Amiri jeshi mkuu wao...
Sijaona tatizo lolote hapo