Askofu Alex Malasusa: Tumeumizwa

Kaona aibu kaona walau na yeye atoe neno neno la kulaani.
 
Huyu hapana!! Sitamsikiliza kwa uaminifu. Waumini wakipigwa kwake si shida? Wananchi wakitekwa kwake si hoja? Kwakuwa limegusa kanisa sasa ndipo ameona aseme?
Si vizuri kiongozi ukatupa shida kukuamini na kukuheshimu
Tatizo mnamwona Akofu kama mwansesere wenu wa kisiasa.
Mtafuteni Askofu Gwajima au yule anayempenda Lema, Askofu Shoo ndiyo msikilizeni. Akisema muandamane fanyeni hivyo.
 

Muongo huyo. Few months ago alikuwa anatetea ule upande. Kwani hakujua kuna akina Soka, Mzee Kibao wameshughulikiwa na Kikosi kazi...!!
 
Lile kabila unafiki uko kwenye damu na ndio maana maendeleo wanayasikia kwa jirani.
Pengine ulienda kwingine kusokorokwinyo, mnyaki hana unafiki hata siku moja. Anakupa za uso, tema au meza mwenyewe.
 
Malasusa ni mnafiq sana
 
Ila wakialikwa ikulu fasta wanawahi kiti cha mbele
 
Hunaas
...moral.autjority kukemea.....Askofu Malasusa nae ni chawa...na tissue kwa watawala haswa huuu....ni jogaas la kujipendekezaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…