ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mbeya-Mchungaji Mwakanyamale asimikwa.kuwa askofu wa Kanisa la Kiinjili la Afrika Mashariki ambalo ameliunda baada ya kuenguliwa KKKT Dayosisi ya Konde.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wanazipata 😂😂Watu wanataka pesa kirahisi sana
Epuka kupotosha watu.Mbeya-Mchungaji Mwakanyamale asimikwa.kuwa askofu wa Kanisa la Kiinjili la Afrika Mashariki ambalo ameliunda baada ya kuenguliwa KKKT Dayosisi ya Konde.
SanaaNa wanazipata 😂😂
Uko sahihiKanisa la kiinjili la Afrika mashariki hajaliunda yeye lipo muda mrefu ...ANDIKA AMEJIUNGA MA KANISA LA KIINJILI LA AFRIKA MASHARIKI
Kuna namba za kutuma sadaka kwa simu huwa huzioni?Siku hizi huwa tunasali kwa njia ya tv tu; hakuna sadaka wala michango
Njoo hapa SowetoNaomba kujiunga na hilo Kanisa ASAP
Ndivyo alivyokuambia Yesu?Kikubwa amani, kama atakua anamhubiri Yesu kristo inatosha, Yesu hajaacha Wasabato wala wa Roma