Askofu Ammeus Bandekile Mwamakula dhidi ya Kashfa ya Sensa Mbeya

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
KASHFA YA KAZI YA SENSA MBEYA: UMMA UNASUBIRI KAULI YA KAMISHNA WA SENSA, UONGOZI WA JUU WA CCM NA SERIKALI.

Mantiki (logic) inatutuma tutoe hitimisho hili: kama Katibu wa CCM wa Wilaya ya Mbeya Mjini alimuandikia barua Mtendaji wa Kata ya Ruanda kumtaka awape kazi ya Sensa vijana 10 wa CCM katika Kata ya Ruanda, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa Katibu huyo alifanya hivyo hata kwa Watendaji wa Kata zote katika Wilaya ya Mbeya Mjini. Hilo linathibitishwa na kitendo cha yeye kutoa nakala kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Mbeya Mjini.

Mantiki hiyo hiyo inatutuma kutaka kuhitimisha kuwa huo ndio mkakati wa CCM katika Wilaya ya Mbeya Mjini na hata katika Mkoa wa Mbeya hata sehemu kubwa ya nchi. Malalamiko kama yalijitokeza pia katika ajira za walimu na hata katika uandikishaji wa wapiga kura. Hii ni aibu kubwa ambayo katika nchi nyingine isingeweza kuiacha salama Sekretarieti ya Chama husika ambayo ingemtoa hadharani Mwenyekiti wa Chama husika ili kulisemea mbele ya umma.

Sisi Askofu Mwamakula tunasubiri kauli kutoka kwa Uongozi wa juu wa CCM waueleze umma nini kilichojiri na hatua ambazo CCM ilichukua baada ya kashfa hii. Tunasubiri kusikia kauli ya Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi, Anne Makinda ili aueleze umma kuwa wamechukua hatua gani lakini pia authibitishie umma kama mambo kama hayo hayapo katika nchi nzima. Inatarajiwa pia kuwa Serikali haitaweza kukaa kimya kwa jambo zito kama hili.

Ukimya wa wahusika wote katika jambo zito kama hili ni hatari sana kwani kutapunguza imani ambayo Wananchi wanayo kwa Serikali na mchakato mzima wa Sensa ya Watu na Makazi utakuwa umeingia dosari mbaya.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula.
 
Sisi Jamiiforums na watanzania wote kwa ujumla wetu tunaunga mkono mtazamo huu wa Baba Askofu.

Kamisaa wa sensa ajitokeze mapema kuclear the air kwani mtaani tayari kumeshajengeka mtazamo hasi.

Na mzingatie sana nani mnawapa kazi hii.. Mkijaza watumishi wa serikali itakula kwenu. Msiseme hatukuwaambia.
 
KASHFA YA KAZI YA SENSA MBEYA: UMMA UNASUBIRI KAULI YA KAMISHNA WA SENSA, UONGOZI WA JUU WA CCM NA SERIKALI.

Mantiki (logic) inatutuma tutoe hitimisho hili: kama Katibu wa CCM wa Wilaya ya Mbeya Mjini alimuandikia barua Mtendaji wa Kata ya Ruanda kumtaka awape kazi ya Sensa vijana 10 wa CCM katika Kata ya Ruanda, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa Katibu huyo alifanya hivyo hata kwa Watendaji wa Kata zote katika Wilaya ya Mbeya Mjini. Hilo linathibitishwa na kitendo cha yeye kutoa nakala kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Mbeya Mjini.

Mantiki hiyo hiyo inatutuma kutaka kuhitimisha kuwa huo ndio mkakati wa CCM katika Wilaya ya Mbeya Mjini na hata katika Mkoa wa Mbeya hata sehemu kubwa ya nchi. Malalamiko kama yalijitokeza pia katika ajira za walimu na hata katika uandikishaji wa wapiga kura. Hii ni aibu kubwa ambayo katika nchi nyingine isingeweza kuiacha salama Sekretarieti ya Chama husika ambayo ingemtoa hadharani Mwenyekiti wa Chama husika ili kulisemea mbele ya umma.

Sisi Askofu Mwamakula tunasubiri kauli kutoka kwa Uongozi wa juu wa CCM waueleze umma nini kilichojiri na hatua ambazo CCM ilichukua baada ya kashfa hii. Tunasubiri kusikia kauli ya Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi, Anne Makinda ili aueleze umma kuwa wamechukua hatua gani lakini pia authibitishie umma kama mambo kama hayo hayapo katika nchi nzima. Inatarajiwa pia kuwa Serikali haitaweza kukaa kimya kwa jambo zito kama hili.

Ukimya wa wahusika wote katika jambo zito kama hili ni hatari sana kwani kutapunguza imani ambayo Wananchi wanayo kwa Serikali na mchakato mzima wa Sensa ya Watu na Makazi utakuwa umeingia dosari mbaya.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula.
Mbona hoja hii ni ya kitoto haina hata ksharufu ka uaskofu ndani yake? Hilo lilikuwa ombi la ajira sawa na Askofu kuombea kondoo wake wapate ajira. Ombeni mtapewa, tafuteni mtapata, huo ndiyo msingi wa Imani.
 
KASHFA YA KAZI YA SENSA MBEYA: UMMA UNASUBIRI KAULI YA KAMISHNA WA SENSA, UONGOZI WA JUU WA CCM NA SERIKALI.

Mantiki (logic) inatutuma tutoe hitimisho hili: kama Katibu wa CCM wa Wilaya ya Mbeya Mjini alimuandikia barua Mtendaji wa Kata ya Ruanda kumtaka awape kazi ya Sensa vijana 10 wa CCM katika Kata ya Ruanda, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa Katibu huyo alifanya hivyo hata kwa Watendaji wa Kata zote katika Wilaya ya Mbeya Mjini. Hilo linathibitishwa na kitendo cha yeye kutoa nakala kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Mbeya Mjini.

Mantiki hiyo hiyo inatutuma kutaka kuhitimisha kuwa huo ndio mkakati wa CCM katika Wilaya ya Mbeya Mjini na hata katika Mkoa wa Mbeya hata sehemu kubwa ya nchi. Malalamiko kama yalijitokeza pia katika ajira za walimu na hata katika uandikishaji wa wapiga kura. Hii ni aibu kubwa ambayo katika nchi nyingine isingeweza kuiacha salama Sekretarieti ya Chama husika ambayo ingemtoa hadharani Mwenyekiti wa Chama husika ili kulisemea mbele ya umma.

Sisi Askofu Mwamakula tunasubiri kauli kutoka kwa Uongozi wa juu wa CCM waueleze umma nini kilichojiri na hatua ambazo CCM ilichukua baada ya kashfa hii. Tunasubiri kusikia kauli ya Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi, Anne Makinda ili aueleze umma kuwa wamechukua hatua gani lakini pia authibitishie umma kama mambo kama hayo hayapo katika nchi nzima. Inatarajiwa pia kuwa Serikali haitaweza kukaa kimya kwa jambo zito kama hili.

Ukimya wa wahusika wote katika jambo zito kama hili ni hatari sana kwani kutapunguza imani ambayo Wananchi wanayo kwa Serikali na mchakato mzima wa Sensa ya Watu na Makazi utakuwa umeingia dosari mbaya.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula.
im here to confirm hii kitu imefanyika nchi nzima. bahati mbaya sana wanaoletwa na chama wana uwezo mdogo haijawahi kutokea. tegemea zoezi hili kuvurugika
 
CCM ni chama la kifisadi, ufisadi kuanzia uchaguzi, ajira, pesa za umma sasa wamenyakua zoezi la sensa. Hakuna wa kulikemea kwani hata mwenyekiti wao, ambaye ni rais, ni matokeo ya wizi na ufisadi
 
Back
Top Bottom