Mkuu AGITATOR , usiwajali vibaraka hawa, mwisho wao ni October 28, watalia sana!.Vibaraka wa mabeberu wameanza kujitoleza mmoja mmoja.
ushahidi huu hapaHuko Visiwani CCM inajitahidi kuwagawa Wananchi na kuwaita 'Machotara' ni aibu tupu.
Africa is fighting independence for the second time everywhere. This indigenous colonialists like maccm /paskali mayala represent the worst form of colonialism, because they can camouflage as if they have the best interest of people.Mkuu AGITATOR , usiwajali vibaraka hawa, mwisho wao ni October 28, watalia sana!.
P
Naona Zanzibar kuna kura siku mbili au njama hiyo kawapa jechaMkuu AGITATOR , usiwajali vibaraka hawa, mwisho wao ni October 28, watalia sana!.
P
Zanzibar kuna uchaguzi siku mbili au mbinu hii kawapa jecha lkn watu washaamka 27 sote twenda na 28 sote twendaVibaraka wa mabeberu wameanza kujitoleza mmoja mmoja.
Chadema pia mnabagua na kuwadhatau wasiojua kiingerezaushahidi huu hapa
View attachment 1596437
bora kuwa kibaraka wa beberu kuliko kibaraka wa dikteta na mbaguziMkuu AGITATOR , usiwajali vibaraka hawa, mwisho wao ni October 28, watalia sana!.
P
Kura yako HAITAIBIWA na Rais Magufuli ataibuka mshindi!Kura yangu isiibiwe. Lissu 2020
siku ukiongea point nipigwe life banChadema pia mnabagua na kuwadhatau wasiojua kiingereza
Ni ajabu na kweli mtu anatafuta kura kwa kuwatishia wapigakura kura. Eti huwezi kuwapelekea maendeleo kwa sababu za utofauti wa kiitikadi. Hapo ndipo utakapo tambua kosa lililopo la kikatiba kutoa madaraka makubwa mno kwa mtu mmoja aliyekosa hekima na busara.Tofauti za dini zilishindwa kutugawa. Serikali haina dini na hakuna anayelazimishwa kuwa na dini. Tofauti za makabila zilishindwa kuligawa Taifa. Makabila madogo yana fursa sawa kama makabila makubwa. Faida ya makabila ni kutambika na kufanya fujo katika misiba ya watani.
Tofauti ya rangi ya ngozi ya mwili haikuligawa Taifa. Baada wa kupata uhuru, baadhi ya waliokuwa wanaitwa wakoloni waliteuliwa kuwa mawaziri. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. Tofauti za vipato hazikuligawa Taifa. Tajiri na maskini wanaweza kunyea ndoo moja huko mahabusu. Utajiri ni wa mtu lakini umaskini ni wa Taifa. Aliyewapa hawa ndiye kawanyima wale.
Tofauti za kiitikadi zinaligawa na kulisambaratisha Taifa letu. Kwanini?
1. Tofauti za kiitikadi zaweza kukutia hatiani au kukuweka huru.
2. Tofauti za kiitikadi zaweza kukupa au kukunyima maji ya bomba, barabara, HOSPITALI na
Shule.
3. Tofauti za kiitikadi zaweza kumpa uongozi kichaa na kumnyima Profesa kazi hiyo. Chama kinakuwa bora kuliko mtu. Hatuko salama.
4. Chama kinakuwa na nguvu kuliko Muumba. Mmoja amependekeza akishinda atabadili jina la nchi liwe la chama chake! Mitume hawasikilizwi lakini makada wanashangiliwa. Ukame ukija tusitafutane.
Viongozi wa dini ombeeni na kugawa baraka kwa rangi zote. Wanyambo walisema "Lisha mbwa wote washibe kwa usawa na bila upendeleo maana hujui ni yupi atakayewinda vizuri na kupata mawindo". Na watani wangu wa Tarime husema, "Asiyetembelea kwa mtemi huwa ananungunika eti mtemi ni bahili".
Baba Askofu Bagonza.