Askofu Bagonza: Anayetugawa hawezi kutuunganisha

Lissu hatajenga barabara, shule wala zahanati maana hayo ni maendeleo ya vitu.

Atakachokifanya ni kuwafukuza wamachinga barabarani maana hayo ndiyo maendeleo ya watu.
Soma vizuri ulichoandika.
 
100% true
 
Achana naye huyu mkuu.Huyu ni moja ya watu ambao wameamua kupoteza utu wao kisa njaa kama jina lake. Tena njaa yake inakula ubongo sasa na uzuri ccm wanamchora na unafiki wake.
 
Mkuu AGITATOR , usiwajali vibaraka hawa, mwisho wao ni October 28, watalia sana!.
P
Siku hizi tunawapima AKILI wanaokusapoti. Kiwango chako cha Elimu, uzoefu wako na taaluma yako vimekosa msaada kwa jamii yako. Si kweli kwamba umezeeka, ila kuendekeza njaa ndiko kunakokutoa ufahamu kiasi hiki. Hao unaowasema vibaraka tuambie ni vibaraka wa nani na unaongea kwa reference ipi?
 
Chadema pia mnabagua na kuwadhatau wasiojua kiingereza
Hakuna aliyebaguliwa kwa Kiingereza kama kiwango chake cha Elimu hakifikii uwezo wa kiingereza maana ni lugha ya kujifunzia. Watu wanachohoji ni kwa vipi mtu mwenye Elimu ya digrii 3 anashindwa kutumia lugha aliyojibia mitihani yake kwa zaidi ya miaka 10 ya Elimu ya juu ukianzia sekondari?
Mashaka haya yanawafanya watu waanze kukumbuka hoja ya BEN SAANANE (RIP) kuhusu hatimiliki ya Thesis ya mhusika.
 
Kweli Baba Askofu. Hakuna haki, hakuna amani. Na anayetugawa hawezi kutuunganisha.
 
Mkuu BAK huyu Ni njaa tu ina mdrive awe hivyo .

Tushaanza mpuuza .

Pengine na ukabila pia unachangia

Akiwa msukuma mwenzake lazima ampe shavu
 
Hahah hio ndio. Definition halisi ya Mayalla kwetu ni njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…