Askofu Bagonza: Anayetugawa hawezi kutuunganisha

Mzee umemchana live.
 
Ukame ukija tusitfutane.
 
Phd inatendewa haki.Long live Bishop.
 
Pascal
Tueleza pia ukaomba kuteuliwa kugombea ubunge Kawe wajumbe waka kupa kura mbili[emoji16][emoji16]
 
Lissu hatajenga barabara, shule wala zahanati maana hayo ni maendeleo ya vitu.

Atakachokifanya ni kuwafukuza wamachinga barabarani maana hayo ndiyo maendeleo ya watu.
Bado kuonyesha nyeti zenu wananchi wajue jinsia,hamueleweki mnaongea nini
 
Mkuu AGITATOR , usiwajali vibaraka hawa, mwisho wao ni October 28, watalia sana!.
P
Hauna uwezo wakufikiri tena ndugu njaa ni upuuzi mtupu...uhuru wa kufikiri sijambo jepesi kwenye mfumo kandamizi ni wachache wanaobaki na misimamo yao hata km matumbo yao yataguswa km ilivyo kwa Lissu na Mbowe,hawa kwangu ni majemedari
 
Tuombee Viongozi waliojitoa ufahamu kuishi kwa hofu ya Mungu
 
Mkuu AGITATOR , usiwajali vibaraka hawa, mwisho wao ni October 28, watalia sana!.
P
Mwaka 2010 na 2015 sikupiga kura kwa sababu ya majukumu Fulani...mwaka huu nitapiga kura...nitajumuika na mamilioni ya watanzania wenzangu kumpa kura JPM...
 
Lissu hatajenga barabara, shule wala zahanati maana hayo ni maendeleo ya vitu.

Atakachokifanya ni kuwafukuza wamachinga barabarani maana hayo ndiyo maendeleo ya watu.
Umemuelewa vizuri sasa mwalimu wako Chakubanga.
 
Kwani ivyo vimejengwa kwa ela za nani?? Nyie ndio hamnazo mlobaki kutamba uko ccm
Lissu hatajenga barabara, shule wala zahanati maana hayo ni maendeleo ya vitu.

Atakachokifanya ni kuwafukuza wamachinga barabarani maana hayo ndiyo maendeleo ya watu.
 
Lissu hatajenga barabara, shule wala zahanati maana hayo ni maendeleo ya vitu.

Atakachokifanya ni kuwafukuza wamachinga barabarani maana hayo ndiyo maendeleo ya watu.
Hebu soma tena ulichokiandika...

Ni maandishi - vurugu tu, hakuna logic, hakuna muunganiko....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…