Kapotoka kama Bagonza kuingia kwenye siasa wote sawa
Kwani si anajengea waumini wake .Hizo hospital na shule kwani ni bure? Si biashara zake mwenyewe anaingiza pesa .Kajigeuza mfanyabiashara wakati Yesu hakufanya biashara huko nako anakuwa kachemka sio kazi ya Askofu kufanya biashara labda kuweko kitengo tofauti kabisa na yeye Cha biashara .Askofu kazi yake ni kuhubiri Injili sio kuendesha biasharaAkijenga visima, shule au hospitali je?
Askofu Bagonza: Msajili wa vyama Jaji Mutungi sio mtu sahihi kuandaa kikao cha wadau wa siasa Tanzania
Ila akionya?
Hiyo ni hadithi iliyopitwa na wakati, asema Bagonza.
Satan/shetani tangu lini ulikubaliana na wacha Mungu?Nikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.
Sana sana nafarijika napoona anahimiza waamini wajikite katika kufuata misingi yote pasipo kuvunja sheria za nchi.
Kwani si anajengea waumini wake .Hizo hospital na shule kwani ni bure? Si biashara zake mwenyewe anaingiza pesa .Kajigeuza mfanyabiashara wakati Yesu hakufanya biashara huko nako anakuwa kachemka sio kazi ya Askofu kufanya biashara labda kuweko kitengo tofauti kabisa na yeye Cha biashara .Askofu kazi yake ni kuhubiri Injili sio kuendesha biashara
Askofu hatakiwi kuwa mwanasiasa Wala mfanyabiashara Wala mchimba visima hayo aachie waumini
Baada ya serikali ya awamu ya nne kuwekeza katika umoja wa kitaifa, Chadema waliwaita dhaifu na wanachekacheka.Swali fikirishi hivi Katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu awamu za viongozi wakuu wa nchi hivi wote hatuna akili timamu kuweza kutambua maana ya awamu za viongozi wa kuu wa nchi ya Tanzania Nadhani awamu hutokana na uchaguzi mkuu sasabasi iwe hivi:Ya awamu ya 4, ilihakikisha umoja wa kitaifa unakua
awamu ya 5, ya Rais wa 6 vyama vya siasa havikutani kujadili mambo ya kitaifa badala yake msajili wa vyama na polisi walikutana, ndiyo wasemaji wa vyama vya siasa ,hakuna kuimarisha ama kujenga umoja wa kitaifa
Samahani mkuu,Kwamba awamu #4 tulikuwa better. This is what is called as regression.
Poor we.
Pity!
Samahani mkuu,
Hatusemi "poor we" tunasema "poor us"
Baada ya serikali ya awamu ya nne kuwekeza katika umoja wa kitaifa, Chadema waliwaita dhaifu na wanachekacheka.
Kazi kwai sasa