Askofu Bagonza kanena

Nyoka yupo ndani, wewe unajishughulisha na kuzuia kuziba badala ya kumtoa nyoka aliyepo ndani.

Mungu ambariki sana msomi aliyeelimika haswa Dr. B. Bagonza.
 
Rais ....,kaleta hela za madarasa,kaleta hela ya josho,kaleta mitungi ya gesi
Kaleta. Matundu ya choo
Kaleta hela za Barbara
Kaleta mikopo ya wanawake,walemavu
Kaleta hela za Barbara
Kaleta hela za..kaleta hela za.
Kaleta..

Kaleta..
Nani kama..
 
Rais ....,kaleta hela za madarasa,kaleta hela ya josho,kaleta mitungi ya gesi
Kaleta. Matundu ya choo
Kaleta hela za Barbara
Kaleta mikopo ya wanawake,walemavu
Kaleta hela za Barbara
Kaleta hela za..kaleta hela za.
Kaleta..

Kaleta..
Nani kama..
Lukasi akisoma hapa atabubujikwa na machozi mpaka ephen_ achoke kuyafuta. Kumbe ni sarcasm (dhihaka!)
 
Tunategemea memkwa akina kafulila tutatokaje hapoo wote CCM ni memkwa hakuna wasomi
 
Askofu Bagonza ni kichwa. Kama Maaskofu wanaweza kuteuliwa na Mhe. Rais kushika nyadhifa mbalimbali basi nampenndekeza Askofu Bagonza afikiriwe.
 
Lakini pia sekta binafsi wanaonea sana watumishi,ndio maana lazima NSSF waende pale ili kuhakikisha michango ya mwajiriwa inalipwa.
 
Lakini pia sekta binafsi wanaonea sana watumishi,ndio maana lazima NSSF waende pale ili kuhakikisha michango ya mwajiriwa inalipwa.
Yeye hajapinga hilo, ila serikali inamsaidiaje mdau aliyeajiri na anashindwa kutekeleza matakwa haya ya kisheria kama nssf, wcf, nhif, cooperate social, nk. Badala ya kumsaidia aweze kuendeleza kuajiri, wanakbilia funga funga.
 
"Kukubali Kujenga Taifa Linalokubali Maoni Tofauti,,Kukubali Kwamba Kuna Watu Wanakarama Na Maoni Tofauti Ya Kuweza Kukumboa Taifa Letu"###YaKibingwaMnooHii###
 
Rais ....,kaleta hela za madarasa,kaleta hela ya josho,kaleta mitungi ya gesi
Kaleta. Matundu ya choo
Kaleta hela za Barbara
Kaleta mikopo ya wanawake,walemavu
Kaleta hela za Barbara
Kaleta hela za..kaleta hela za.
Kaleta..

Kaleta..
Nani kama..
Mmmh, wajameni na ikiwa kimbunga na mafuriko, maafa nayo sasa. . . . . aah , kidogo tuwe na subira basi enyi walimwengu wenzangu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…