Askofu Bagonza katiba mpya na Ben Rabiu Saanane

Askofu Bagonza katiba mpya na Ben Rabiu Saanane

IMG-20210813-WA0028.jpg
 
Askofu Bagonza ametweet kwakusema Kama unachefuliwa na wanaodai katiba mpya watakapokuja watakaomdai Ben Rabiu Saanane si ndio utatapika?

Nini maoni yako.

hii ngumu kumeza ujembe mchungu huu naona safari ya kuanza kuyafukuwa makaburi ya zamani imeanza
 
Askofu Bagonza ametweet kwakusema Kama unachefuliwa na wanaodai katiba mpya watakapokuja watakaomdai Ben Rabiu Saanane si ndio utatapika?

Nini maoni yako.
Hivi saanane sasa hivi wanaangalianaje na màgufool huko kuzimu walikompeleka
 
Asante Bishop,natamani wengi Wenye hekima waseme neno,tujenge umoja wa kweli na ustawi wa taifa letu,tupunguze unafiki.
 
Askofu mpakwa mafuta anarusga vijembe.

Hawa ndio wanafanya dini zionekane biashara tu.
 
Nikisema ndo mtanitupia mawe mpaka nife niwe marehemu kabisa
 
Mtu yeyote aliyefilisika hoja hukimbilia udini ' ukanda na ukabila . And thats U
Mnajificha kwa neno hilo. Kama mnakumbuka 2015 ilikuwaje? Askofu wa KKKT anatangulia mbele kwa mbele hadi sasa na kesho hasi kieleweke
 
Back
Top Bottom