GE2025 Askofu Bagonza: Kiburi cha madaraka kinaleta uharibifu, hakileti ustawi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Askofu Bagonza ameeleza kuwa waamini wanapaswa kuomba ili taifa lipate viongozi wen hekima kuliko wenye kiburi cha madaraka

"Tuombee hekima kuliko kiburi cha madaraka ambacho kiburi cha madaraka kinaleta uharibifu hakileti ustawi wa wati wake" - Askofu Bagonza
Your browser is not able to display this video.
 
[I]Na ndicho kinachotokea wakati huu. Ubabe mwingi usio na ulazima![/I]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…