Askofu Bagonza: Kubambikiwa kiti na Microphone ni hatari kuliko Corona, barakoa na chanjo

Kaka fanya unywe chai au supu.

Alafu eti humu kuna watu walikua wanaamini wewe ni mwanamke 🤣🤣🤣

Supu saa moja, saa hii KAZI INAENDELEA

Kama ambavyo wanaamini wewe Daudi Mchambuzi ni mwanaume kumbe ni pisikali flani hivi 😂😂😂😂
 
Kwani hao watoa kafara Wana njia hio hio moja siku zote
 
Huyu Bagonza naye anaanza kuishiwa kiasi cha kuwa lunatic. Kama anamtetea tapeli Gwajima, ameingia choo ya kike. Si waanzishe chama cha siasa badala ya kujificha nyuma ya majoho na neno la Mungu.
Wapi alipomtetea Gwajima?
 
Supu saa moja, saa hii KAZI INAENDELEA

Kama ambavyo wanaamini wewe Daudi Mchambuzi ni mwanaume kumbe ni pisikali flani hivi 😂😂😂😂
Haha kaka kama kawaida pua zimekutanuka kwa jazba kweri-kweri.

Fanya upate kifungua kinywa, njaa na hasira ni ndugu wa jamii moja.
 
We Mama D Mumeo kapata Mke mwema NARUDIA TENA Mumeo kapata Mke mwema.
 
Hivi huyu ni Askofu kwa maana ya askofu au hilo neno Askofu ni sehemu ya jina lake tu? inaonesha ni mpenzi wa masuala ya kisiasa.
 
Haha kaka kama kawaida pua zimekutanuka kwa jazba kweri-kweri.

Fanya upate kifungua kinywa, njaa na hasira ni ndugu wa jamii moja.

Wanaume tunapata breakfast kabla ya saa moja asubuhi

Pisikali tulieni tuwatumie na kutolea mkaninunue japo mayai unywe chai
 
Si Askofu tu hadi Jerry Silaa alipuulizia SANITIZER microphone
 
Hizi PHD hizi🙌🙌🙌🙌🙌
 
Binafsi nina hiyo Bias mnoo,
Huwa naamini kila mtu aliyepo kijani hayuko balanced kiakili,lazima atakuwa na mtindio wa akili-Hivyo nitakuwa surprised kukutana na mtu smart kwenye hicho chama.
We are sailing in the same boat.
Bravo
 
Naendelea kusisitiza, "kifo cha mbwa huanza kwa kupoteza uwezo wa kunusa hatari"
 
Hapana, sentensi hii si sawa, wote wana tatizo, Gwajima anamuogopa Rais asishushe amri juu yake. Tatizo ni Samia, weak, extra ordinary weak president,
It's purely mere assumptions based on our definition of weakness.
Tumezoea shouters. The lady bites. Wait and see
 

mbona unahamisha gori bibie hoja ni gwajiboy sio mbowe?
 
Askofu anashangaa Gwajima kulindwa asiugue Corona kwanini aogope kiti!
Anaongea Kama siyo mtu wa Kiroho.

Angejiuliza Eliya aliyeomba Moto ukashuka ukateketeza Askari waliokuja kumkamata,ndo yuleyule alimkimbia mwanamke Yezebeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…