Askofu Bagonza: Kubambikiwa kiti na Microphone ni hatari kuliko Corona, barakoa na chanjo

tuludi kwenye mjadala ccm gwajiboy kawakalia kooni

Kamkalia nani kooni😆😆😆 kumbe hata hujui kwamba chanjo ni hiari🙄🙄

Hebu nipishe na mwandiko wako usioeleweka.... eti "tuludi"😨😨😨
 
Story za vijiweni hizi...
 
NIMEMWALIKA MUNGU HAPA ANAKUSIKIA, ANDIKA GWAJIMA ANAKOSA GANI LA KATIKA HILI. WEWE ULITAKAJE? AMEKUTAPELI NINI? NA KATIKA HOJA ZAKE ALOZISHITAHTAIKWA NAZO WEWE UNAELEWA NINI? USITUKANE BALI JIBU HOJA LA SIVYO NYAMAZA.
Eti umemealika MUngu we kijana acha hizo
 
Aiseeee
 
???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…