johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unadhani Dini na Siasa ni Vitu viwili tofauti?Tusichanganye dini na siasa
dini na siasa ni vitu viwili vinavyoenda pamoja lazima vishakamane ili viwe sawa,suleiman alikuwa kwenye dini na siasa,daudi pia akikuwa hivo,iran kiongoz wao mkuu wa din yupo pia na siasa,vatcan kiongoz wao ndiye kiongoz wa kanisa,hivi vitu havitenganishwiTusichanganye dini na siasa
Askofu Dr Bagonza amesema Padre Martin Luther alipigilia bango lenye Hoja 95 kwenye Lango Kuu la Kanisa pale Ujerumani na kuleta Matengenezo ya Kanisa
Padre Martin Luther akawa Mchungaji
Wokovu hauuzwi wala haununuliwi Msijidanganye wala Msidanganywe
Source: Upendo Tv
cc: Tundu Lisu, Luhaga Mpina
Nawatakia Dominica Njema ๐น
Askofu Dkt. Bagonza ni Mtumishi wa Mungu ambaye anawahudumia binadamu (Watu).Tusichanganye dini na siasa
Mbona kama vijembe jo?Toa ujumbe halisi ulivyo kutoka kwa mwasilishaji wote wauelewe vinginevyo kama na wewe haujauelewa achana nao.Askofu Dr Bagonza amesema Padre Martin Luther alipigilia bango lenye Hoja 95 kwenye Lango Kuu la Kanisa pale Ujerumani na kuleta Matengenezo ya Kanisa
Padre Martin Luther akawa Mchungaji
Wokovu hauuzwi wala haununuliwi Msijidanganye wala Msidanganywe
Source: Upendo Tv
cc: Tundu Lisu, Luhaga Mpina
Nawatakia Dominica Njema ๐น
Msaidie kwa kumkumbushia Kauli ya Yesu:" Timizeni ya Kaisari na ya Mungu pia mngali hapa Duniani".Unadhani Dini na Siasa ni Vitu viwili tofauti?
Uasi Mtakatifu ๐Mbona kama vijembe jo?Toa ujumbe halisi ulivyo kutoka kwa mwasilishaji wote wauelewe vinginevyo kama na wewe haujauelewa achana nao.
Tuchanganye na maharagwe siyosiasa
Kaisari WA haki siyo huyu mwiziiKaisari
Askofu bagonza apewe mau yakeAskofu Dr Bagonza amesema Padre Martin Luther alipigilia bango lenye Hoja 95 kwenye Lango Kuu la Kanisa pale Ujerumani na kuleta Matengenezo ya Kanisa
Padre Martin Luther akawa Mchungaji
Wokovu hauuzwi wala haununuliwi Msijidanganye wala Msidanganywe
Source: Upendo Tv
cc: Tundu Lisu, Luhaga Mpina
Nawatakia Dominica Njema ๐น