kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
"Hoja ya katiba mpya pamoja na sababu nyingine nyingi, inalenga kupunguza au kuondoa mgongano wa hatari kati ya ukuu wa katiba na ukuu wa Rais. Kwa hali ilivyo, Rais na katiba wako vitani" Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe.