masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Kama unafiki wa kidini upo basi kuumbuliwa ni sasa.
Dkt Mwaikali aliyekuwa Askofu Dayosisi ya Konde, kibarua kimeota nyasi.
Sasa Maaskofu waliokuwa wakimpigia chapuo la nguvu ni Benson Bagonza wa Dayosisi ya Karagwe na Ambele Mwaipopo wa Dayosisi ya Ziwa Tanganyika Sumbwanga.
Hawa Maaskofu wawili ndio waliokuwa mstari wa mbele kumuunga mkono Dr Mwaikali na usaliti wake kwa kanisa la KKKT.
Mimi nawaomb hao maaskofu wawili wasiwe wanafiki, wampatie kazi ya uchungaji kwenye Dayosisi zao.