masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Basi sawa.Kama unafiki wa kidini kuumbuliwa ni sasa.
Dr Mwaikali aliyekuwa Askofu Dayosisi ya Konde, kibarua kimeota nyasi.
Sasa Maaskofu waliokuwa wakimpigia chapuo la nguvu ni Benson Bagonza wa Dayosisi ya Karagwe na Ambele Mwaipopo wa Dayosisi ya Ziwa Tanganyika Sumbwanga.
Hawa Maaskofu wawili ndio waliokuwa mstari wa mbele kumuunga mkono Dr Mwaikali na usaliti wake kwa kanisa la KKKT.
Mimi nawaomb hao maaskofu wawili wasiwe wanafiki, wampatie kazi ya uchungaji kwenye Dayosisi zao.
Kukimbiwa na hata wana dini wenzio noma.Ukumbuke wakati wa shida marafiki hukimbia.
Askofu ameingia eneo ambalo hakulitegemeaKukimbiwa na hata wana dini wenzio noma.
Mtu laghai, si mkweli, muongo muongo, mpenda pesa, mpenda ugomvi, nani atataka awe naye kuchunga kondoo.AENDE kwa mwamakula, mwanakondoo ameshinda
Ndio urafiki wa mashaka kati ya Bagonza, Mwaikali na Mwaipopo.Ukumbuke wakati wa shida marafiki hukimbia.
Ngoja tusubiri, muda ni mwalimu.Ndio urafiki wa mashaka kati ya Bagonza, Mwaikali na Mwaipopo.
Wampe Usharika huko makwao.
Ni kweli mkuu,Sasa Bagonza atamchua vipi, Kanisa sio la askofu yeye amefukuzwa na KKKT ameondolewa wakfu wa kicungaji na kiaskofu atakuwa mshirika wa kawaida. hawezi tena kuhudumu dayosisi yoyote wala ushirika wowote wa KKKT labda akaungane na mwamposa, mwamakula
Kwa kweli hili la kuileta hapa kuwaomba hao Maaskofu Bagonza na Mwaipopo kumwajiri mwenzao ni kama kuwaambia na wao wajitathmini yasije yakawapata ya Mwaikali.Kwani ukiondolewa kwenye uaskofu unarudi kuwa muumini wa kawaida au unaendelea kuwa mchungaji. Maana nijuavyo uchungaji ni taaluma haiwezi kuondolewa, labda uaskofu ambao ni madaraka.
Kwani'' askofu Mwamakula'' ana kanisa? usione zile kofia zake zake anazojishonea mwenyewe, angekuwa na kanisa tungeliona mkuu.AENDE kwa mwamakula, mwanakondoo ameshinda
Dah😆😁Kwani'' askofu Mwamakula'' ana kanisa? usione zile kofia zake zake anazojishonea mwenyewe, angekuwa na kanisa tungeliona mkuu.
Uongo utakusaidia nini wewe ?Kwani'' askofu Mwamakula'' ana kanisa? usione zile kofia zake zake anazojishonea mwenyewe, angekuwa na kanisa tungeliona mkuu.