Wanaombea amani kufungua angaNdio maana upinzani huwa naona ni hovyo kuliko hata hao ccm wenyewe,yani badala ya wao kuonesha utofauti ndio kwanza nao wanafanya yaleyale wanaofanya ccm halafu ukiuliza unajibiwa mbona ccm anafanya/alifanya. Sasa hapo kuna chama mbadala au ni vilevile tu kasoro majina.
Mkuu wewe unaishi dunia ipi?Hakuna nchi yoyote yenye maendeleo ya kidemokrasia inayozuia siasa kwenye makanisa na misikiti.Sio Ulaya wala Marekani kuna.
Mkuu wewe unaishi dunia ipi?
Fanya utafiti wa kutosha halafu ujibu kwa uhakika wa yale unayoyasema .
Na Mzee wa upako je?mbina wanatumia madhabahu kumpamba magufuli?hakuwahi kusema lolote,mnaogopa nini?Huyo sheikh asitutishe
Mbona hakumpiga mkwara Gwajima na Mashimoo?
Hao akina Mungwira wanahaki ya kuwa wanapotaka wao
Huyu ndo amkemee Bagonza?Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake.
EastAfricaTV
Ngojeni sasa GENTAMYCINE nishinde Uchaguzi huu mtaona hilo Kanisa Mwenge Jeshini litaondoka tu na nitamchafua Mtu kwa KKKT wamuondoe.
Yahee karibu ubwabwa tuko na sheikh alhadiKamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake.
EastAfricaTV
Ngojeni sasa GENTAMYCINE nishinde Uchaguzi huu mtaona hilo Kanisa Mwenge Jeshini litaondoka tu na nitamchafua Mtu kwa KKKT wamuondoe.
hao viongozi wako wa dini hawana tofauti na nabii titoAlikuwa anajua cdm haiwezi kuwa na viongozi wa dini wanaoikubali, hivyo anaona wananchi watazidi kuwa na imani na cdm iwapo watatokea viongozi wa dini hadharani kuwaunga mkono.
Mbona umesahau pengo na yule shehe wa Mkoa wa darKamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake.
EastAfricaTV
Ngojeni sasa GENTAMYCINE nishinde Uchaguzi huu mtaona hilo Kanisa Mwenge Jeshini litaondoka tu na nitamchafua Mtu kwa KKKT wamuondoe.
Kwenye neno CCM waweza kuweka ChademaNchi hii ukisikia "acheni kuchanganya dini na siasa".. Basi fahamu fika hapo wanaosemwa ni Viongozi wa dini walosimama kwenye KWELI..
CCM yenyewe ruksaaa na huwezi sikia MTU akisema JUU yao tena Rais wao anachangisha hadi fedha za kujenga MSIKITI ndani ya KANISA..
SHETANI ni lazima aendelee kukataliwa pamoja na kazi zake zote !