Askofu Bagonza: Tuna taifa linaloumwa lakini halijui kama linaumwa

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, Tuna taifa linaloumwa lakini halijui kama linaumwa .

"Ni vema tukafanya haraka kulitibu taifa kabla halijajitambua kama linaumwa, sasa linaumwa lakini halijui kama linaumwa, siku likitambua linaumwa nguvu zote zinaisha". Askofu Bagonza
Your browser is not able to display this video.
 
kalikawe akiwa anafanya ngono na vibinti vya waamini wake ofisini kwake hua anajua kama watu hawaju kumbe wanajua fika hiyo chafu yake.

akiwa madhababuni utadani ni mdogo wake yesu kumbe fuska fulani tu hivi
 
Neno la Kristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…