Askofu Bagonza: Tunahitaji Tanzania Mpya inayowezesha Raia wake kuishi kwa furaha na watu wasiokubaliana nao

Askofu Bagonza: Tunahitaji Tanzania Mpya inayowezesha Raia wake kuishi kwa furaha na watu wasiokubaliana nao

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ameongea vyema Askofu Bagonza:

Hatuhitaji CCM mpya wala CHADEMA mpya, hatuhitaji kaulimbiu mpya. Tunahitaji Tanzania Mpya inayowezesha Raia wake kuishi kwa furaha na watu wasiokubaliana nao.

Kazi ya kujenga Tanzania mpya ni yetu sote mpaka tufikie hatua ambayo...

Simba anaweza kuishi na Yanga kwa furaha,

Chui acheze na mwanambuzi kwa furaha,

Simba amwalike swala katika sherehe,

Mbwa amuuguze sungura anapougua badala ya kumla ,

MwanaCCM amuoe mwanaCHADEMA bila kufikiriwa kwamba anasaliti,

Afande Kingai amwalike Mbowe kwenye Send Off ya mwanaye,

Tanzania ambamo mtoto wa Denice Urio amuoe mtoto wa Kibatala na iwe furaha na vicheko.


Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka.

Tanzania bora kabisa.
 
1646818289215.png
 
Back
Top Bottom