WARSHA KUHUSU MAFUNDISHO POTOSHI
Katika kongamano lililowaleta viongozi kadhaa wa dini mbalimbali Tanzania, baba Askofu Bagonza alichangia mada
Bagonza ataja hatari SITA kuhusu Mafundisho potoshi. Wewe zako ni zipi?
View: https://m.youtube.com/watch?v=ZGhFhp6v6WE
Baba Askofu Bagonza amesema kuna juhudi za kuitaka serikali ya Tanzania kuingilia uhuru wa kuabudu kwa kisingizio cha wahubiri kupotosha. Amesema hiyo si sawa maana na ni hatari zaidi kwa serikali kuingilia shughuli za imani ya kidini. Maana je ikibidi sheikh au askofu au mchungaji akitakiwa kupeleka mahubiri yake kwa DC Mkuu wa wilaya au polisi kila ijumaa, jumamosi au jumapili ikapitiwe na mamlaka za dola kabla ya kuruhusiwa mahubiri kufanya si itakuwa hatari!
Naye sheikh akichangia mada amesema BAKWATA na sheikh mkuu mufti wa Tanzania kwa kushirikiana na Mfalme Mohammed VI wa Morocco wameanda na kuwezesha waumini kwenda sawa ili kujiepusha na mahubiri potofu
Washiriki pia wamegusia jinsi viongozi wa kidini baadhi yao wanashiriki utoroshaji magendo, biashara ya binadamu n.k kwa mwamvuli wa taasisi zao za kidini
Viongozi hao wanatenda jinai wakijihusisha na magendo, biadhara haramu n.k na wanastahili kushughulikiwa kwa kutenda jinai hizo...