GE2025 Askofu Bagonza: Uchaguzi bila CHADEMA ni kama uchaguzi bila CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kumbe hata mapadre wanawehuka, nilikuwa sijui hili.
 
ibirisi wa ccm wametengeneza vyama uchwara 18 wakidhani Dunia itaviona ni vyama vya Upinzani kweli, Tanzania bila Chadema hakuna uchaguzi bali Ibirisi wa ccm wanataka kulazimisha Uchaguzi wa maigizo uchaguzi magumashi feki ndiyo maana hata wasanii wajinga jinga kama steve Nyerere mwijaku wamechukua form maana wanajua watakuwa wabunge kwa njia haramu za kishetani
 
ibirisi wa ccm sasa wanauza form za ubunge kama mandazi ili wapate pesa ingawa humo kwenye zoazoa watapenya Takataka wengi kisha bunge kuja kuwa la hovyo zaidi
 
chawaccm Amos makala wameamua wachukue chao mapema kabsa maana wanajua mama mkoloni kaburu toka Zanzibar hatoboi kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…