Askofu Bagonza: Ukiishi muda mrefu unawaona Mwambukusi wengi…

Asante Baba hekima zako nani atazirithi ? Nani anachota hizo busara ? Andika vitabu tubakie hazina hekima busara zakooo.....muda unakimbia busara hulala pia ila hazutafutila kamwe
Itabidi tumwambie aandike collection ya post zake kwenye kitabu.
 
Na mengine mengi tusiyiyajua tangu akiwa kijaña hadi sasaaaa
Hakika ni falsafa nzito sana.
 
Kweli kabisa. !
Mungu ni mwema 🙏🙌
 
"You are not free, you are out of jail" - Nyerere.

Nyerere alimaanisha kwa Mandela mifumo ya ukandamizaji bado ipo nje, yeye Mandela ametoka tu nje ya jengo la gereza.
 
Yaani utafikiri ushairi flani unarudia mara 4 kuona kama yatakaa kichwani lkn wapi.
 
"You are not free, you are out of jail" - Nyerere.

Nyerere alimaanisha kwa Mandela mifumo ya ukandamizaji bado ipo nje, yeye Mandela ametoka tu nje ya jengo la gereza.
Sahihi
 
Aliitisha maandamano Mbeya tukam-mwabukusi.

imhotep au nasema uongo ndugu yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…