By Talanta Mhanga kupitia twitter:
"Japokuwa Mbowe ni tofauti na Mandela, mbinu za kumshughulikia zikifanana na zilizomshughulikia Mandela, basi Mandela na Mbowe wanakuwa sawa; na waliomshughulikia Mandela wanakuwa sawa na wanaomshughulikia Mbowe. Tunahitaji nguvu ya hoja, si nguvu ya dola" - Askofu B. Bagonza.