Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Cc Mbaga JrSi mlisema ni hayati Magufuli anateka watu mbwa nyie
Nenda kalie kwenye kaburi lakeSi mlisema ni hayati Magufuli anateka watu mbwa nyie
Huyo kuku, kabisa sio kulia...achinjwe watu wafaidi supu.Nenda kalie kwenye kaburi lake
'Member' jasiri mwenye matusiSi mlisema ni hayati Magufuli anateka watu mbwa nyie
JPM alisingiziwa mabaya mengi
Nchi zinazoongoza kwa WATU KUPOTEA ;Askofu Bagonza aeleza namna 4R za Rais Samia Suluhu Hassan zilizotekwa na baadhi ya watu kwa kushindwa kuzifuata kama alivyokuwa akitaka Rais zifuatwe.
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Aidha amesema Watu wanatekwa na kupotea kama sindano Nchini mtu akiwa ametoa maoni yake tu, na kufikia hatu kuifanya nchi kuonekana ya magaidi.
Hivi kuna mtu amesifiwa zaidi ya baba wa taifa ?!!Chifu Hangaya aka Chura Kiziwi nikusihi kuna mazuri ya kurithi toka kwa Mtanguzi wako JIWE lakini haya;
-;Kupenda kusifiwa sifiwa...HAYA SIO , YANAKUCHAFUA
- Kutekana
- Kuharibu na kubaka UCHAGUZI
SIjasema Kupenda kusifiwa, nimeandika kupenda kusifiwa sifiwa..Baba wataifa alisifiwaHivi kuna mtu amesifiwa zaidi ya baba wa taifa ?!!
Sisi ni waafrika wenye TAKRIMA nyingi sana ,sidhani kumsifia Rais(chief comforter of the nation) ni kitu kibaya....
Marekani ndio nchi inayoongoza kwa watu kupotea(2021-watu 521,705),India -watu 88 kila saa 1 , Uingereza -watu 180,000 kwa mwaka.
Biashara ya HUMAN TRAFFICKING ni pana sana...
...kwa hiyo baba wa taifa hakupenda kusifiwa ?!!Si
SIjasema Kupenda kusifiwa, nimeandika kupenda kusifiwa sifiwa..Baba wataifa alisifiwa
Kwani Magufuli hakuteka? Ben Saanane kapotea Hivi Hivi kama mchezo na boss wake Mbowe hata hakulivalia njuga suala la kupotea kwake!Si mlisema ni hayati Magufuli anateka watu mbwa nyie
Baba wa Taifa hakupenda kusifiwa sifiwa na watu wajinga kama wakina Mwijaku!!...kwa hiyo baba wa taifa hakupenda kusifiwa ?!!