Askofu Benson Bagonza: Penye jina CHADEMA weka CCM

Asante baba askofu.
 
Hawa ndiyo aina ya viongozi wanao hitajika kutuongoza, siyo wale wanao shinda kwenye korido za ofisi za watawala kutafuta unafuu wa maisha.
 
Naamini huyu Baba ana IQ kubwa sana, anatakiwa awekwe miongoni wa wenye sifa hizo duniani.

Mie siwezi kufikiri kwa namna yake....ila madini nayopata kwake nafurahia uwepo wake duniani.
Kuna viongozi wa dini zetu bado wanasimamia misingi ya taasisi zao.
Hawatishwi kwa ahadi za kununuliwa magari na kupewa walinzi wenye bunduki na vifaru.

Hawana tamaa ya maisha ya duniani bali wanaamini kuwa wao ni wachungaji.
 
Bagonza haonagi vyama vingine vya siasa ,ispokua chadomo tu,pathetic
 
Nilikwenda Ngara Nikaonyeshwa
Ambako Huduma Za Bishop Zinatolewa. Kule Ngara Wapo Hawa Wawili
Bishop Bagonza
Bishop Niwemugizi
Rulenge Ngara Kagera Tanzania
Hivyo ni vichwa kweli kweli na jiwe anawaogopa sana
 
kweli hii ni Phd isiyo na shaka yeyote, na itakuwa imepatikana kwenye moja ya chuo kikuu bora kabisa hapa duniani. ukiwa phd za hapa kwetu itakuwa shida kidogo manake lugha ya kufundishia inasumbua mpaka wakufunzi.
PhD holder anakimbilia kwa Ambilikile kupiga kikombe loliondo! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…