Askofu Desmond Tutu ana tezi dume

Askofu Desmond Tutu ana tezi dume

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
130827120808_desmond_tutu_464x261_reuters.jpg

Askofu mstaafu Desmond Tutu

Askofu mkuu mstaafu wa Cape Town,Desmond Tutu,ameahirisha mipango ya ziara zake kwa mwaka mzima ujao kutokana na sababu za kiafya.


Taarifa iliyotolewa na taasisi yake imeeleza kuwa Askofu huyo ataanza matibabu hivi karibuni ili kukabiliana na tezi dume ambayo amedumu nayo miaka kumi na mitano iliyopita.


Binti wa Askofu huyo amemuelezea baba yake mwenye umri wa miaka themanini na miwili,kwamba hatahudhuria tuzo za Nobel zitakazo fanyika baadaye wiki hii huko Rome, Italia.chanzo.
http://www.bbc.co.uk/swahi…/habari/2014/…/141209_tutu_cancer
 
Tezi dume inasababishwa na mtu mwenye zaidi ya miaka 50 kupenda ngono
 
Back
Top Bottom