johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amemuomba Naibu waziri Mkuu Dr Biteko wafanye kila wawezalo kumaliza tatizo la watu kutekwa na Kuuawa
Dr Biteko anawakilisha Serikali kwenye mazishi ya Askofu Dr Sendoro wa Mwanga
Askofu Dr Malasusa amesema hali ni mbaya ikiwa ni pamoja na Ongezeko la ajali za barabarani
Askofu Dr Malasusa amesema Damu zinavyozidi kumwagika ndio nchi inaingia kwenye Laana hivyo amewataka wachungaji kuanza Maombi rasmi kumuomba Mungu wa mbinguni atuepushie Laana nchi nzima.
Soma Pia: Askofu Shoo akemea vitendo vya kikatili vinavyohusisha mauaji, utekaji na matumizi mabaya ya nguvu na mamlaka
Source Upendo Tv