Askofu Dkt. Malasusa: Mambo ya Utekaji yafike mwisho nchi inalaanika Damu zinavyomwagika, Dkt. Biteko Wanasiasa kaeni chini msikilizane!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amemuomba Naibu waziri Mkuu Dr Biteko wafanye kila wawezalo kumaliza tatizo la watu kutekwa na Kuuawa

Dr Biteko anawakilisha Serikali kwenye mazishi ya Askofu Dr Sendoro wa Mwanga

Askofu Dr Malasusa amesema hali ni mbaya ikiwa ni pamoja na Ongezeko la ajali za barabarani

Askofu Dr Malasusa amesema Damu zinavyozidi kumwagika ndio nchi inaingia kwenye Laana hivyo amewataka wachungaji kuanza Maombi rasmi kumuomba Mungu wa mbinguni atuepushie Laana nchi nzima.

Soma Pia: Askofu Shoo akemea vitendo vya kikatili vinavyohusisha mauaji, utekaji na matumizi mabaya ya nguvu na mamlaka

Source Upendo Tv

Your browser is not able to display this video.
 
Naona Kada wa CCM kajitutumua hapo Hadi kusema hivyo, Malasusa buana
 
Kuna mtu anabaki na genge lake tu....
 
Chura kiziwi atatengwa na kila mtu!

Ila kuhusu ajali ni sababu ya staili mbovu ya uongozi wa chura kiziwi, kuongoza ki JK JK ndio sababu ya haya yote
 
Utekaji ndio nguzo pekee wanayotegemea hao viongozi ili waweze kuendelea kubaki madarakani. Wakiacha Halafu itakuwaje kuhusu hatma ya vyeo vyao?
 
MAKAFIR ACHENI CHOKO CHOKO,KIPINDI KILE MWENDAZAKE ANASUMBUA WATU HATUWAHI KUSKIA KELELE KAMA HIZO.
 
Hatimaye kada wa CCM na Afisa kipenyo ajitutumua kuongelea utekaji unaoratibiwa na Idara yake
 
MAKAFIR ACHENI CHOKO CHOKO,KIPINDI KILE MWENDAZAKE ANASUMBUA WATU HATUWAHI KUSKIA KELELE KAMA HIZO.
Wakati wa dhalimu Magufuli Kanisa lilikemea bila woga uovu wake. Makafiri wa Bakwata ndiyo walikuwa wanamshangilia hadi yule Sheikh wa Dar akakufuru kuwa Magufuli ni zaidi ya Mungu na Mtume Mohamed au ulikuwa kwenu Nanjilinji unakula panya .
 

Attachments

  • VID-20210922-WA0002.mp4
    1.4 MB
Si Mkuu wa nchi kasema utekaji ni Drama,sasa wakina Dotto watakomeshaje!!!
 
Wakati wa dhalimu Magufuli Kanisa lilikemea bila woga uovu wake. Makafiri wa Bakwata ndiyo walikuwa wanamshangilia hadi yule Sheikh wa Dar akakufuru kuwa Magufuli ni zaidi ya Mungu na Mtume Mohamed au ulikuwa kwenu Nanjilinji unakula panya .
Alikuwa Kijijini kwao Nanguruwe 😀
 
Sijasikia bado msimamo kuhusu wa kanisa la Masanja kuhusu hawa watekaji.

Kama kuna mdau amesikia chochote anitumie link nikaangalie.
 

Attachments

  • images (49).jpeg
    22.6 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…