THE BIG SHOW JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 16,950 Reaction score 13,527 Sep 17, 2024 #21 SAGAI GALGANO said: Wakati wa dhalimu Magufuli Kanisa lilikemea bila woga uovu wake. Makafiri wa Bakwata ndiyo walikuwa wanamshangilia hadi yule Sheikh wa Dar akakufuru kuwa Magufuli ni zaidi ya Mungu na Mtume Mohamed au ulikuwa kwenu Nanjilinji unakula panya . Click to expand... Aaah wapi,toka lin makafiri wenu hao maaskofu walimkemea magufuli?? Tupe hata waraka mmoja ambao walithubutu kuundika enzi za mwendazake,weka ushahidi tuone.
SAGAI GALGANO said: Wakati wa dhalimu Magufuli Kanisa lilikemea bila woga uovu wake. Makafiri wa Bakwata ndiyo walikuwa wanamshangilia hadi yule Sheikh wa Dar akakufuru kuwa Magufuli ni zaidi ya Mungu na Mtume Mohamed au ulikuwa kwenu Nanjilinji unakula panya . Click to expand... Aaah wapi,toka lin makafiri wenu hao maaskofu walimkemea magufuli?? Tupe hata waraka mmoja ambao walithubutu kuundika enzi za mwendazake,weka ushahidi tuone.