johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Heshimu viongozi wa dini hata kama siyo DINI au DHEHEBU lako..Wewe Shoo acha kuingilia mambo ya gaidi kwani wewe si Joyce Mkuya
Unaweza kuona umeandika jambo la maana, kumbe unachafua hali ya hewa. moja ya jukumu la viongozi wa dini ni kufundisha, kuonya na kushauri. Wewe kwa akili yako umeaona makosa gani kwa kauli hii ya baba Askofu ?, au ndio unatafuta umaarufu kupitia kwa watumishi wa Mungu. JITAFAKARI SANAWewe Shoo acha kuingilia mambo ya gaidi kwani wewe si Joyce Mkuya
Haya maaskofu ndio huwa yanasema chaguo la Mungu nk,yule Aliyekuwa anatawala kwa mabavu alikuwa hamtaji Mungu?Utetezi wa kijinga sana,rohoni kwa mtu ni mbali sana,askofu aache upuuzi,dola ina mkono mrefu sana
Mpuuzi sana huyu shoo.Utetezi wa kijinga sana,rohoni kwa mtu ni mbali sana,askofu aache upuuzi,dola ina mkono mrefu sana
Wewe Shoo acha kuingilia mambo ya gaidi kwani wewe si Joyce
Nyamaza mbwa weweWewe Shoo acha kuingilia mambo ya gaidi kwani wewe si Joyce Mkuya
Tabia ya huyo mtu ikoje? ndio yule alietaka maridhiano wakati ule? wacheni utoto wenu.Jamani, tangu lini suala la mtu kuwa gaidi linapaswa kufanyia mikutano kwamba mimi nataka kuwa Gaidi? Si ni siri ya mtu?
Mbowe si gaidiAskofu mkuu wa KKKT Dr Shoo amesema anamfahamu vizuri Freeman Mbowe ambaye amewahi pia kuwa mbunge wake na hakuwahi kuiona tabia ya ugaidi moyoni kwake, hivyo atashangaa sana kama Freeman ni gaidi
Askofu Shoo amesema haki itendeke katika kesi hii ambayo inafuatiliwa na watu wenye mapenzi mema duniani kote.
Dr Shoo amesema haya kwenye mazishi ya mama mkwe wa Freeman Mbowe amnapo aliongoza misa ya mazishi.
Mungu ni mwema wakati wote!
Hata sisi tungeshangaa endapo usingemtetea ndugu yako.
Shoo na vyombo vya dola nani mwenye jukumu la ulinzi na usalama? Nani huwa wanachunguza hayo mambo?
Huyu anaingilia mahakamani sasa.
Mkuu wa Kanisa na siyo Askofu Mkuu.Askofu mkuu wa KKKT Dr Shoo amesema anamfahamu vizuri Freeman Mbowe ambaye amewahi pia kuwa mbunge wake na hakuwahi kuiona tabia ya ugaidi moyoni kwake, hivyo atashangaa sana kama Freeman ni gaidi
Askofu Shoo amesema haki itendeke katika kesi hii ambayo inafuatiliwa na watu wenye mapenzi mema duniani kote.
Dr Shoo amesema haya kwenye mazishi ya mama mkwe wa Freeman Mbowe amnapo aliongoza misa ya mazishi.
Mungu ni mwema wakati wote!
Maridhiano ya nini, kwani kuna shida gani TZ? TZ wakihitaji maridhiano then Sudan, Ethiopia, Afghan, Iraq, Syria wahitaji nini?Tabia ya huyo mtu ikoje? ndio yule alietaka maridhiano wakati ule? wacheni utoto wenu.