MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mwambie akatoe ushahidi kwa korti.Askofu mkuu wa KKKT Dr Shoo amesema anamfahamu vizuri Freeman Mbowe ambaye amewahi pia kuwa mbunge wake na hakuwahi kuiona tabia ya ugaidi moyoni kwake, hivyo atashangaa sana kama Freeman ni gaidi
Askofu Shoo amesema haki itendeke katika kesi hii ambayo inafuatiliwa na watu wenye mapenzi mema duniani kote.
Dr Shoo amesema haya kwenye mazishi ya mama mkwe wa Freeman Mbowe amnapo aliongoza misa ya mazishi.
Mungu ni mwema wakati wote!
Mchezo mchafu wa kijinga kabisaHii kesi ya Mbowe naona ni script tu..
Najiuliza swali la msingi Sabaya katika ile footage ya kuvamia hotelini kwa Mbowe na mitutu na bodyguards wakaishia kuwapiga walinzi wa hoteli na kuwatupa mbali.
Swali linakuja kama Freeman angekuwa gaidi , kwa aliyokuwa akifanya Sabaya sidhani kama huyo Dogo leo hii angekuwa anasurvive..
Tulipoharibikiwa kama Taifa ni pale tulipoifanya kazi ya polsi kuwa ni maalum kwaajili ya wasio na akili.
Hicho mnachokilazimisha kukipata, mtakipata soon. Rejea maneno ya Mama "Polisi wanabambikia watu kesi"Hata sisi tungeshangaa endapo usingemtetea ndugu yako.
Shoo na vyombo vya dola nani mwenye jukumu la ulinzi na usalama? Nani huwa wanachunguza hayo mambo?
Huyu anaingilia mahakamani sasa.
Shoo mwenyewe amebakiza muda tu asepe hapa duniani.Mungu akubariki shoo.
Atakufa mtu
Magaidi wengi huwa wana tabia ya kutofahamika na huwa huwezi kudhani. Lazima afwate utaratibu wa kisheria. Sio kwa vile yeye anamfahamu ndio tuchukulie kuwa hana makosa.Askofu mkuu wa KKKT Dr Shoo amesema anamfahamu vizuri Freeman Mbowe ambaye amewahi pia kuwa mbunge wake na hakuwahi kuiona tabia ya ugaidi moyoni kwake, hivyo atashangaa sana kama Freeman ni gaidi
Askofu Shoo amesema haki itendeke katika kesi hii ambayo inafuatiliwa na watu wenye mapenzi mema duniani kote.
Dr Shoo amesema haya kwenye mazishi ya mama mkwe wa Freeman Mbowe amnapo aliongoza misa ya mazishi.
Mungu ni mwema wakati wote!
Wabambikaji wanapokaukiwa hoja mnahangaika sana kulazimisha.Wewe Shoo acha kuingilia mambo ya gaidi kwani wewe si Joyce Mkuya