Askofu Dkt. Shoo: Mbowe alikuwa mbunge wangu na nimekuwa naye karibu sijawahi kuona tabia ya ugaidi kwake, nitashangaa sana!

Heshimu viongozi wa dini hata kama siyo DINI au DHEHEBU lako..
Huyo shoo hajielewi. Kesi ipo mahakamani yeye anazungunza Kama nani?
Nasema hivi HAKUNA wa kumheshimu huyo shoo, kanisa limemshinda anaingilia siasa
 
Utetezi wa kijinga sana,rohoni kwa mtu ni mbali sana,askofu aache upuuzi,dola ina mkono mrefu sana
Umenena yaliyo na mashiko. Hivi Mbowe akikutwa na hatia kwa ushahidi usio na shaka ataweka wapi uso wake?
 
Hivi watu mnaopingana na askofu Shoo ni kwamba mnamchukia Mbowe au kweli mnaongozwa na nini? Hivi jambazi (sijasema mwizi, nimesema JAMBAZI ) na gaidi unaweza kufanya kwa kificho kwa muda mrefu na isijulikane? Tuache UPUMBAVU, tutumie akili katika kufikiri, GAIDI hajifichi, huwezi kufanya matendo ya KIGAIDI halafu eti police tu ndio wajue na watu wengine wasijue. Ugaidi na gaidi ni jambo lililo wazi sana, halijifichi, same same na jambazi. Mtu hawezi kua jambazi aliyekubuhu halafu eti jamii iliokaribu nae isijue.

Nakubaliana sana na ile taasisi iliotoa majibu yake kuhusu IQ yetu Watanzania, nakubaliana nayo kabisa kwamba understanding capacity yetu ipo chini kulinganisha na nchi zingine.

Ndio maana nchi zingine wakipandishiwa hata bei ya mkate watu wanaonesha concern zao na serikali inachukua hatua, acha tuendelee kuambiwa TUHAMIE Burundi na tuendelee kucheka tu, ndio tulivyo.
 

Askofu wa Chadema huyo, ulitegemea nini? Ukiachilia mbali ni mchaga mwenzake.
 
Kwahiyo Gwajima ni askofu wa CCM!!

Who told you Gwajima ni Askofu? Wa wapi? Nani kampa uaskofu? When? Where? Amegraduate wapi?

Anyway ngoja nikujibu tu.

Gwajima who is 100% fake bishop ni CHADEMA, hajawahi kuwa CCM, Mwendazake alilazimisha agombee ubunge sbb ya ukabila tu hakuna kingine, tokea lini Gwajima 100% fake bishop ni CCM?
 
Kwahiyo kigezo cha kugombea ubunge pale CCM ni KABILA.
 
Mwambieni huyo Shoo aisome vizuri sheria ya Ugaidi ya mwaka 2002, apate picha kamili kuhusu Ugaidi ni kitu gani na makosa yake yakoje.

Kuna baadhi ya wapuuzi wanadhani bei ya kufadhili Ugaidi zimebandikwa ukutani kama Price tag zikiwa na bei tofauti tofauti, na kwamba ile bei inayoonekana ni kiwango cha chini eti bei hiyo haiwezi kufadhili Ugaidi. Je, huu si UNYUMBU.

Kuna mtu aliwahi kusema SUMU HAIONJWI, sijajua mantiki ilikuwa ni nini, but is it hard to guess?
 
Tukiweka mbali dini, itikadi, vyama na vikundi vyote vya kijamii, akili ya kawaida huonesha HAKI ilipo.
Ujinga na chuki una madhara makubwa sana katika maamuzi ya viongozi wa taasisi mbali

Tukiweka mbali dini, itikadi, vyama na vikundi vyote vya kijamii, akili ya kawaida huonesha HAKI ilipo.
Ujinga na chuki una madhara makubwa sana katika maamuzi ya viongozi wa taasisi mbalimbali.
Uko sahihi mkuu
 
Baadae unaweza kusema hata Shaka amebebwa!

Mbona huelewi? Shaka alikuwa sio CCM? Nachokwambia Gwajima hakuwahi kuwa CCM, Gwajima fake pastor ni CAHDEMA, ni Mwendazake kambeba tu sbb ya ukabila. Unaanza kuchanganya mambo sasa.

Shaka is CCM, na ww unajua, hata kama kapewa Ukatibu uenezi, ila ni CCM. Mm nachosema Gwajima hakuwahi kuwa CCM, kapewa tu ubunge sbb ya ukabila. Umenielewa?
 
Najaribu kumtafakari sabaya na utetezi wake dhidi ya kesi yake, na kama alichosema kwamba alikua anapokea order from upstairs basi nadhani inabidi tuangalie upya terrorism issues kwa nchi yetu.
 
Kwahiyo wananchi wa Kawe wana ukabila?
 
Amuonye nani? Mi mwenyewe nina uwezo wa kumuonya!
 
Hatanmaaskofu na wachungaji ni wabakaji lakini ni ngumu sana kuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…