Pre GE2025 Askofu Dkt. Shoo: Wananchi chagueni Viongozi wenye hofu ya Mungu, ukichagua kiongozi mbovu dhambi ni zako wewe uliyemchagua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa Baraza la Wakristo Tanzania (CCT) Askofu Dkt. Shoo amewataka Wananchi kuchagua viongozi Wenye Hofu ya Mungu wa mbinguni

" Ukichagua Mbunge akuwakilishe Bungeni tangu siku anakanyaga Bungeni anapotea, makosa ni Yako wewe uliyechagua, Tuchague Watakaotujali kwa manufaa ya Taifa " amesisitiza askofu Dr Shoo

Source: Mwananchi
 
Mwenyekiti wa Baraza la Wakristo Tanzania ( CCT) askofu Dr Shoo amewataka Wananchi kuchagua viongozi Wenye Hofu ya Mungu wa mbinguni

" Ukichagua Mbunge akuwakilishe Bungeni tangu siku anakanyaga Bungeni anapotea, makosa ni Yako wewe uliyechagua, Tuchague Watakaotujali kwa manufaa ya Taifa " amesisitiza askofu Dr Shoo

Source: Mwananchi
Askofu wa taifa.
 
Katika watu naowadharau siku hizi ni viongozi wa dini na wanasiasa.Takataka tupu.
 
Viongozi gani wenye hofu ya huyo Mungu ? Na Mungu gani ana mzungumzia huyu bwana ?
 
Askofu wa taifa.
Askofu mtata huyu, huku yeye anapgia debe Kiongozi flani hadharani na kuonyesha uchawa halafu sisi anatwambia tusichague viongozi wasio wasafi , yeye atupe basi sifa za wale anaowashadadia hadharani ili tuone kama kweli kauli zake zinaendana na kile anachokitenda yeye, na iwe mwongozo kwetu sote wafuasi wake.
 
Kiongozi anarudi kipindi cha uchaguzi tu uchaguzi ukiisha muda wote yupo kwenye LR 4 anakula bata bungeni, akili kichwani
 
Dr. Shoo mbona umezeeka mapema saana Askofu wangu?
 
Mwenyekiti wa Baraza la Wakristo Tanzania (CCT) Askofu Dkt. Shoo amewataka Wananchi kuchagua viongozi Wenye Hofu ya Mungu wa mbinguni

" Ukichagua Mbunge akuwakilishe Bungeni tangu siku anakanyaga Bungeni anapotea, makosa ni Yako wewe uliyechagua, Tuchague Watakaotujali kwa manufaa ya Taifa " amesisitiza askofu Dr Shoo

Source: Mwananchi
Baba mchungaji kachelewa sana kutoa ujumbe 🤣🤣🤣🤣
 
Mwenyekiti wa Baraza la Wakristo Tanzania (CCT) Askofu Dkt. Shoo amewataka Wananchi kuchagua viongozi Wenye Hofu ya Mungu wa mbinguni

" Ukichagua Mbunge akuwakilishe Bungeni tangu siku anakanyaga Bungeni anapotea, makosa ni Yako wewe uliyechagua, Tuchague Watakaotujali kwa manufaa ya Taifa " amesisitiza askofu Dr Shoo

Source: Mwananchi
"Looking for a needle in a haystack "- wenye kuelewa wataelewa!
 
IMG-20241102-WA0062.jpg
 
Back
Top Bottom