johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Askofu wa taifa.Mwenyekiti wa Baraza la Wakristo Tanzania ( CCT) askofu Dr Shoo amewataka Wananchi kuchagua viongozi Wenye Hofu ya Mungu wa mbinguni
" Ukichagua Mbunge akuwakilishe Bungeni tangu siku anakanyaga Bungeni anapotea, makosa ni Yako wewe uliyechagua, Tuchague Watakaotujali kwa manufaa ya Taifa " amesisitiza askofu Dr Shoo
Source: Mwananchi
Askofu wa taifa.
Chama cha kwao kina urafiki na vyama vya mashoga, sasa sijui hiyo hofu ya Mungu wa mbinguni inapotelea wapi?Askofu Dkt. Shoo amewataka Wananchi kuchagua viongozi Wenye Hofu ya Mungu wa mbinguni
Kama serikali ya CCM inavyokopa kwa mashoga mpaka bajeti 75%wafadhiri ni hao hao wapigania ushogaChama cha kwao kina urafiki na vyama vya mashoga, sasa sijui hiyo hofu ya Mungu wa mbinguni inapotelea wapi?
Askofu mtata huyu, huku yeye anapgia debe Kiongozi flani hadharani na kuonyesha uchawa halafu sisi anatwambia tusichague viongozi wasio wasafi , yeye atupe basi sifa za wale anaowashadadia hadharani ili tuone kama kweli kauli zake zinaendana na kile anachokitenda yeye, na iwe mwongozo kwetu sote wafuasi wake.Askofu wa taifa.
He should walk his talks too !Fuateni maneno msifuate vitendo!
Kiongozi anarudi kipindi cha uchaguzi tu uchaguzi ukiisha muda wote yupo kwenye LR 4 anakula bata bungeni, akili kichwaniAskofu mtata huyu, huku yeye anapgia debe Kiongozi flani hadharani na kuonyesha uchawa halafu sisi anatwambia tusichague viongozi wasio wasafi , yeye atupe basi sifa za wale anaowashadadia hadharani ili tuone kama kweli kauli zake zinaendana na kile anachokitenda yeye, na iwe mwongozo kwetu sote wafuasi wake.
Baba mchungaji kachelewa sana kutoa ujumbe 🤣🤣🤣🤣Mwenyekiti wa Baraza la Wakristo Tanzania (CCT) Askofu Dkt. Shoo amewataka Wananchi kuchagua viongozi Wenye Hofu ya Mungu wa mbinguni
" Ukichagua Mbunge akuwakilishe Bungeni tangu siku anakanyaga Bungeni anapotea, makosa ni Yako wewe uliyechagua, Tuchague Watakaotujali kwa manufaa ya Taifa " amesisitiza askofu Dr Shoo
Source: Mwananchi
"Looking for a needle in a haystack "- wenye kuelewa wataelewa!Mwenyekiti wa Baraza la Wakristo Tanzania (CCT) Askofu Dkt. Shoo amewataka Wananchi kuchagua viongozi Wenye Hofu ya Mungu wa mbinguni