johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Baba Askofu Dr Malasusa amesema Yesu Kristo hakutumia nguvu kumshusha Zakayo bali alitumia Neno la Mungu wa Mbinguni " Zakayo Leo wokovu umefika nyumbani mwako"
Askofu Dr Malasusa amesema hayo wakati akiweka Jiwe la msingi la Ujenzi wa Kanisa la KKKT Kibiti
Aidha Askofu Dr Malasusa amewashukuru Waislamu wa Kibiti na Shehe wa Wilaya hiyo kwa mahusiano na Ushirikiano Mzuri wanaopeana Wananchi bila kujali Itikadi za kiimani
Source: Upendo Tv
Nawatakia Dominica Njema 😄