Askofu Emmaus Bandikile Mwamakula asema haogopi kubambikiwa kesi ngumu

Yaani kiukweli wakikukamata kweli, watakuwa wamekupendelea sana tena sana.
 
KUMANYOKO. TENA KUMANYOKO KABISA. ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Miaka michache iliyopita huyo bwege alipatwa na janga hospitali ya Mloganzira,kila akiomba msaada kwa anao walamba viatu hakupata, alikuwa analia kama tahira yaani...
Leo hii kasahau yote
 
Nyerere aliwahi kuwaambia Nzi wa kijani wenzake kuwa "CHAGUENI KIOMGOZI ATAKAYEONGOZA KWA MJIBU WA KATIBA". leo mtu ambaye anataka anatamka hadharani KATIBA ni kijitabu tu!! Anawezaje kufanya mambo kwa namna KATIBA inavuyotaka!!.
Hapo hapo mwanzo walisema Kuna watu wanataka kukiuka katiba ๐Ÿ˜ wakati wa yeye kukabidhiwa nchii Kuna muda unajiuliza why binadamu kama Hawa hawana soni ? yaan kilichokuwezesha wewe kupata mamlaka Leo unaona sio na kukidharau tuheshimu katiba ya nchi kwa pande zote ili kujilinda nchi hii si ya ccm Wala chadema si ya wakristo Wala waislam
 
Miaka michache iliyopita huyo bwege alipatwa na janga hospitali ya Mloganzira,kila akiomba msaada kwa anao walamba viatu hakupata, alikuwa analia kama tahira yaani...
Leo hii kasahau yote
MASKINI eeeh kumbeee..anaowalamba viatu latest upigaji wamepiga bilioni 700 za el nino ya mchongo..yeye kaambulia hata ka jero ?
 
Unaogopa nini kama unajua ujawai kutenda jinai? Mahakama ni sehemu tuliokubaliana kua itakua sehemu ya kutoa haki kwetu sote. Kumbuka ata makasisi na mapdre walihusika kufanikisha mauaji ya kimbari kule Rwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ