F Fikra Pevu Senior Member Joined Oct 13, 2010 Posts 128 Reaction score 20 Oct 21, 2010 #21 Sisajua LENGO hasa la kuwa na hiyo Press Conference ni nini ? Na Kwa nini sasa ? Kwangu ni mmoja wa watu ninayemuamini kwa uwezo wake wa kujenga hoja.. Atatumiaje uwezo huo ? Nasubiri nione.
Sisajua LENGO hasa la kuwa na hiyo Press Conference ni nini ? Na Kwa nini sasa ? Kwangu ni mmoja wa watu ninayemuamini kwa uwezo wake wa kujenga hoja.. Atatumiaje uwezo huo ? Nasubiri nione.