TANZIA Askofu Gerald Mpango ambaye ni kaka wa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango afariki dunia

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefiwa na kaka yake Askofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Gerald Mpango. Askofu Gerald Mpango amefariki tarehe 19 Januari 2022 Jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.



Makamu wa Rais Dk Philip Mpango amehani msiba wa kaka yake, Askofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Gerald Mpango aliyefariki jana jijini Dar es Salaam


Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa na Kaka yake, Marehemu Askofu Gerald Mpango
 
Pole kwa familia ya Mpango
 
Poleni sana makamu wa Rais. Mungu awake faraja.
 
R.I.P
 
RIP Bishop, we lived as brothers those days
 
Pole kwa familia ya Dr Mpango. RiP Askofu. Mwendo umeumaliza, kwa imani yako umepigana vita iliyo njema. Mungu aitazame roho yako kwa jicho la msamaha.

Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…