Askofu Gwajima alikuwa wapi? Hao watu anaosema ameaacha kama wafungwa wapo wapi?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Anasikika juzi kwenye ibada ya mwaka mpya akisema kuwa kuna watu ameaacha mahala wamewekwa kizuizini

Amesema atataja aseme mapema ili tujue kama watu bado wapo hai ambao tunadhania walishauwwawa.

Please Askofu sema ukweli ulikuwa wapi?
 
Ila sometimes Gwajiboy msanii sana unakumbuka kipindi cha Magu alijifanya mgonjwa akalazwa TMJ hospital?
Watu wake wa karibu wakamuandalia gari begi lake la nguo lililokuwa na dollar na bastola ili atoroke? Akadakwa anapanda gari nadhani akiwa kavaa hijab😂 Sijui ile kesi alimalizana vipi na Magu
 
Haaaaah 😀
 
Kosa la Gwaji ilikuwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…