Askofu Gwajima amehukumiwa kwa mahubiri yake au kama Mbunge? Je, angekuwa siyo Mbunge ingekuwaje?

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
Sijaelewa embu nielimishwe

Askofu Gwajima alianza kutilia shaka chanjo hii akiwa bungeni. Akiwa kanisani ameendelea kutia shaka. unajua tutofautishe kutia shaka na kupinga.

Sasa kwa sababu mahubiri take kama mbunge yameonyesha kudhalilisha bunge, je angekuwa RAIA wa kawaida hukumu yake ingekuwaje?

Uhuru wa kutoa maoni uko wapi?
 
ndio unauliza swali gani ilo sasa? mtu ni mbunge unauliza je angekua sio mbunge,

angekua sio mbunge napo ungeuliza je angekua ni mbunge
 
Akili zako unazijua wewe mwenyewe sasa hapo umeuliza swali gani?
 
ndio unauliza swali gani ilo sasa? mtu ni mbunge unauliza je angekua sio mbunge,

angekua sio mbunge napo ungeuliza je angekua ni mbunge
Huyu jamaa akili zake sidhani kama zipo sawa
 
ndio unauliza swali gani ilo sasa? mtu ni mbunge unauliza je angekua sio mbunge,

angekua sio mbunge napo ungeuliza je angekua ni mbunge
No Kama

No Kama anajiu
 
Ni kama anajiuliza yeye mwenyewe asingekuwa humu angechangiaje mijadala
 
Back
Top Bottom