DuuuuAngenyongwa kabisa ili iwe fundisho kwa CCM wenzake.
Akili zako unazijua wewe mwenyewe sasa hapo umeuliza swali gani?Sijaelewa embu nielimishwe
Askofu Gwajima alianza kutilia shaka chanjo hii akiwa bungeni. Akiwa kanisani ameendelea kutia shaka. unajua tutofautishe kutia shaka na kupinga.
Sasa kwa sababu mahubiri take kama mbunge yameonyesha kudhalilisha bunge, je angekuwa RAIA wa kawaida hukumu yake ingekuwaje?
Uhuru wa kutoa maoni uko wapi?
Huyu jamaa akili zake sidhani kama zipo sawandio unauliza swali gani ilo sasa? mtu ni mbunge unauliza je angekua sio mbunge,
angekua sio mbunge napo ungeuliza je angekua ni mbunge
No Kamandio unauliza swali gani ilo sasa? mtu ni mbunge unauliza je angekua sio mbunge,
angekua sio mbunge napo ungeuliza je angekua ni mbunge
No Kama anajiundio unauliza swali gani ilo sasa? mtu ni mbunge unauliza je angekua sio mbunge,
angekua sio mbunge napo ungeuliza je angekua ni mbunge